Fikia uwezo wako wa
kuwekeza kikamilifu
Wekeza na wakala/dalali anayetambulika kimataifa ili ufaidi mazingira ya kipekee ya uwekezaji sokoni
Mbona uwekeze na JustMarkets?
Toa fedha papo hapo
Zifikie fedha zako kwa urahisi, wakati wowote.¹
Misambao ya chini na thabiti
Uwekezaji madhubuti wenye misambao midogo kuanzia pips 0.

Wekeza bila riba
Wateja wote hawatozwi ada kwa kwa kushikilia nafasi usiku kucha.
Utekelezaji wa haraka
Oda inachukua sehemu ya sekunde.
Bei thabiti na za kutegemewa
Aina za akaunti kwa (mahitaji ya) mkakati wowote wa uuzaji na ununuzi.

Wekeza papo hapo. Popote, wakati wowote

Scan to Download the App
iOS and Android
Wekeza na dalali anayeaminika kimataifa
Tunaupa umbele usalama wako
Tunatoa huduma zilizojengwa kwenye msingi wa teknolojia za kisasa za uhifadhi wa data zinazoafiki viwango vya kimataifa vya usalama. Tunakuhakikishia usalama wa uwekezaji wako kwa kila hatua, kuanzia njia salama za kulipa kufikia faragha ya data yako.

Ulinzi wa pesa za mteja
Ulinzi wa usiri wako
Ulinzi wa juu wa data
Ulinzi wa Kiwango cha Kimataifa
